Rubara

@punditparadox.bsky.social

An African, with Africa, for Africa!

Huu ndiyo msimamo tunayohitaji. Wakatoliki wapiga kura ni wengi zaidi ya madhehebu mengine. Sasa tuone kama Ndg. SuluhuSamia na wanaompotosha watafuata dafu. Aliingia kazini akionesha yeye ni mcha Mungu. Utamu wa madaraka sasa yamefanya aende kinyume na imani yake.

BildBild